This Blogs deals with INFORMATION TECHNOLOGY WORLD WIDELY.

Friday, August 3, 2018

Watu wengi wanashindwa kujua aina gani ya computer na yenye ubora upi anaweza nunua kwa matumizi yake. Epuka kununua vitu feki na visivyo na ubora.



Ijue Computer Yako.
Kitu cha kwanza na cha muhimu nikuwa na WARANTI CARD kama utanunua kifaa chako kutoka katika maduka au mawakala wa hicho kifaa wanaofaamika utapata waranti ambayo itasaidia kupata msaada wakati kifaa kitakapo pata matatizo,Ijue PROCESSOR, ya kifaa ichokunautofauti mkubwa san kati ya processor za single core na kama pentium processor na  duo-core, naquad core processors kwamtumiaji wa kawaida processor za intel i3 inamtosha saana watumiaji wa kati i5 itafaaa ila kwa wale maguru i7 ndio ya kwao, Ijue HARD DISK, kwa watumiaji wa kawaida sio tatizo sana hii, ila kwa watumiaji wa wakubwa wale wanaopenda kudownload software kama Adobe suit uwa zina mpaka 5GB,wale wapenzi wakudownload movies, games na wengineo wanahitaji hard disk kubwa. Kwa magwiji wa computer kama kina sisi tunauliza SATA au SCSI DRIVERS. Ijue RAM kwa watumiaji wadogo sio ishu sana hii hata ram ya 2Gb ni kubwa kutosha matumizi yake yote ila watumiaji wakubwa  hasa wale professionals wangependa kutumia 4-6GB.Pia operating system kama windows 32bits na 64bits zina minimum requirement za ram itakayotumika kuziendesha,wataalam wa kompyuta wenyewe wakati wa manunuzi huuliza DDR2 au DDR3. Yajue MATUNDU,kutokana na matumizi yako angalia kompyuta ambayo itafaa ukiwa umeweka flash pia unaweza kuweka modem,printer nakadhalika,siku hizi kuna hdmi connection,kuna usb 2 na usb 3 ports, matund ya internet connection.Ijue JINA,Baadhi ya watu kwa sababu moja au nyingine atakwambia anapenda HP au DELL au SAMSUNG au TOSHIBA,mfano unapewa pc ya HP au SAMSUNG unapewa warant ikizingua unaweza irudisha ukatengenezewa au ukapewa mpya kwa kwa kujua zaidi kuhusu Copmpyuta nicheki kwa mawasliano.


Share:

Wednesday, August 1, 2018

Thursday, July 19, 2018

The World's Most Dangerous hacker


Share:

Creating a Mini Website Part 1


Share:

What is PHP?


Share:

Zaq

Blogger.com